November 23, 2018


Kipindi cha Spoti Hausi jana kilikuwa tena hewani ambapo wachambuzi wako watakuchambulia mambo mengi kuhusu michezo mbalimbali, pamoja nayo leo watazungumza na kiungo mshambuliaji ambaye ni mdogo wake na kiungo wa Taifa Stars, Simon Msuva anayejulikana kwa jina la Gabriel Msuva .

Unajua jamaa anataka kusajiliwa timu gani kati ya Simba na Yanga? unajua nini kamfanya kuwa mwanasoka bora, usikose kipindi hiki kuanzia saa 10:000.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic