November 7, 2018


Wanachama na Mashabiki wa Yanga wa Tawi la manzese ameibuka na kusema kuwa bado wanamuhitaji mwenyekiti wao manji ambaye aliandika barua ya kujiuzulu kuendelea kubaki yanga kutoka na matatizo yake binafsi.

Wanachama wao wamesema kuwa Manji ndio mwenyekiti wao atakayeongoza gurudumu hilo kutokana na ni kiongozi hao ambao wamekuwa nae muda mrefu.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic