VIDEO: KOCHA SIMBA AFICHUA KILICHOKUWA NYUMA YA PAZIA KUHUSU SULUHU NA LIPULI
Matokeo hayo yamewafanya wavune pointi moja uwanja wa Taifa na kufikisha jumla ya pointi 27 wakiachwa na Yanga ambao jana walishinda mbele ya Mwadui FC ya mkoani Shinyanga na kufikisha pointi 29.








Simba wasije wakafanya kosa la kumuacha au kumtoa kwa mkopo Rashid Juma. Licha ya ukinda wake lakini ni kijana anaecheza kwa kujituma kwa ajili ya timu na anakipaji. Rashid anaonekana Simba imo kwenye damu yake na ana jitihada za dhahiri katika ufanyaji wa kazi yake ya malengo ya kufika mbali kwa hivyo ni bora kumkuza akiwa ndani ya Simba. Kwani kila nikimuangalia Rashid Juma basi namuaona Mbwana Samata mpya kwa hivyo kijana akisimamiwa vizuri basi ni hazina kwa taifa pia. Kocha ndie mpangaji wa timu ila Rashid tayari wa kupewa majukumu pale Simba na nnaimani ata yatendea haki. Phiri alimuamini Mbwana Samata akiwa kinda tu kwa timu kubwa kama T.Mazambe sasa leo inakuwaje Simba inashindwa kuwaamini vijana wake wenye vipaji kwa timu za hapa nyumbni tunabaki na kukomaa na akina Boko tu?
ReplyDeleteHata Mimi nakubaliana kuwa kijana Rashid jumaninkijana mzuri mno simba waendelee kumkuza
ReplyDeleteUnawajaji Vipi kina Marcel Kaheza na Adam Salamba?
ReplyDeleteRashidi Juma jana alipoingia, alibadili mchezo kabisa kwa upande wa krosi na hata aliweza mara chache kuingia kati, kiujumla alisumbua kwa dakika alizopewa na uhai wa simba kule mbele ulionekana. Kijana abaki huyu.
ReplyDelete