VIDEO: MAHAKAMA YAVUTANA NA BASATA JUU YA WASAFI Kufuatia kufungiwa kwa wimbo wa Mwanza na kuamuliwa kutolewa mtandaoni Na kutopigwa kabisa katika matamasha ya Wasafi Wananchi nao wamekuwa na maoni tofauti kuhusu suala la kufungiwa kwa wimbo huo.
0 COMMENTS:
Post a Comment