November 8, 2018

5 COMMENTS:

  1. Acheni uchonganishi nani amewaambia Yanga wanamtaka huku nyuma Kocha wa Yanga alishasema hana mpango wa kumsajili Chirwa kutokana na nidhamu mbovu sasa nyie salehjembe blog mnasema eti Azam wameipiga bao Yanga ebu acheni udaku na mwandike kwa kufuata miiko ya uandishi bila kuweka umbea na ushabiki

    ReplyDelete
  2. Kama unaona ni uongo povu la nini???????????????

    ReplyDelete
  3. Hata Ngoma walizungua hivyo hivyo...jamaa alijileta mwenyewe kwao kutaka kazi...kama ni utomvu wa nidhamu hata sasa kuna wachezaji wanne hawako kambini...lipeni watu stahiki zao

    ReplyDelete
    Replies
    1. hao ambao hawapo kambini nendeni Simba mkawasajili kama wenzenu Azam

      Delete
  4. Hii blog siku hizi ni kama magazeti ya udaku tu...

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic