VIDEO: NAMNA TFF ILIVYOIANGAMIZA YANGA
Kamati ya maadili ya shirikisho la soka Tanzania TFF imewafungia miaka mitatu pamoja na kupigwa faini ya Milioni mbili kila mmoja viongozi wa matawi ya timu hiyo ambao ni Mwenyekiti wa matawi Bakiri Makele na Katibu wake Boaz Ikupililika.
0 COMMENTS:
Post a Comment