SportPesa yamkabidhi mshindi wa promosheni ya Shinda Zaidi na SportPesa kutoka Kigamboni Sheli Dar es Salaam, kwenye droo ya 83 AbdulKareem Abdallah (24) ambaye ni kiongozi wa skauti.
Akizungumza mara baada kukabidhiwa bajaj yake Ramadhani alisema ameanza kucheza na SportPesa muda mrefu baada ya kuona vile ambavyo watu wengi wananufaika na timu ya ushindi kutokana na ubashiri wanaoufanya.
"Ni furaha kubwa kushinda mimi ni skauti sina kazi ya kuniingizia kipato Nimecheza sana kwenye makampuni mengine lakini sijawahi pokea ushindi kama huu" Alisema Ramadhan.
Aidha Ramadhani ameeleza mikakati yake baada ya ushindi wa bajaj kuwa ni pamoja na kumuwezesha kubadilisha yake kutoka hali aliyonayo sasa ambapo anaamini atajikita kwenye uwekezaji mkubwa wa kuandaa biashara ya kunyanyua kipato chake.
Huku jambo lingine ni kurekebisha nyumba ya mama yake mzazi kwa kuifanyia matengenezo pamoja ni kumuhudumia kwenye mahitaji ya kila siku.
"Kwenye familia yetu mimi ndio kijana mkubwa kila mtu ananitegemea kuanzia mama yangu mzazi na wadogo zangu na naona kama ushindi huu umekuja wakati muafaka hivi mnafikiri naweza kuwasahau SportPesa sidhani maana mmeyatengeneza maisha yangu na naendelea kucheza zaidi maana huo mtonyo Wa Jackpot we acha tu lazima siku nishinde," alisema Ramadhani.
Mama mzazi wa AbdulKareem alisema kwamba amefurahishwa sana na ushindi wa mwanae na anamtakia kila la kheri kwenye ushindi wake na ahakikishe anatumia vizuri bajaji yake kama ni biashara apate faida ili aweze kusaidia familia.
Wateja wapya na waliojisajiri wanaweza kucheza baada ya kuweka pesa kwenye akaunti zao za SportPesa kupitia namba ya kampuni 150888 na kumbukumbu namba 888 kupitia mitandao yote ya simu.
Unaweza kucheza kwa kupiga namba * 150. * 87 # kwa kuweka ubashiri kwa bet ya mechi moja ama mechizaidi ya 20 kwa kiasi cha shilingi 100 ama kucheza Jackpot na kujishindia zaidi ya shilingi 420,625,100/= za kitanzania.
0 COMMENTS:
Post a Comment