Kikosi cha Nkana FC moja kwa moja kimeanza kambi kwa ajili ya mechi dhidi ya Simba wiki ijayo.
Nkana FC wameingia kambini kuiwinda Simba katika mechi ya marudiano jijini Dar es Salaam ikiwa ni saa chache baada ya ushindi wao dhidi ya Simba wa mabao 2-1 mjini Kitwe.
Mechi hiyo ya Ligi ya Mabingwa ilikuwa kali na ya kusisimua na inaonekana Nkana FC wameona hakutakuwa na utani Dar es Salaam kutokana na walivyoiona Simba.
Kikosi cha Nkana kina Mtanzania mmoja, Hassan Ramadhani Kessy ambaye pia aliwahi kuichezea Simba na baadaye Yanga.
Sawa kifo palepale
ReplyDeleteWakija Kwa Mchina 4G Itawahusu Kama Kawaida Ya Simba Taifa
ReplyDeleteTaifa wanakufa.hakuna mjadala mbona hilo hata wenyewe wanalijua.
ReplyDelete