Liverpool imeondoa ile hofu ya mashabiki wake kuhusiana na kutoka mapema katika Ligi ya Mabingwa baada ya kuitwanga Napoli kwa bao 1-0 na kusonga mbele katika michuano hiyo.
Bao pekee la Mohamed Salah, mfalme wa Misri limetosha kuiangusha Napoli inayofundishwa na Carlo Ancelotti.
Ilikuwa furaha kubwa kwenye Uwanja wa Anfield baada ya Liverpool kupata ushindi huo uliosubiriwa kwa hamu kubwa.
- VIKOSI:
- Liverpool XI: Alisson, Alexander-Arnold, Matip, Van Dijk, Robertson, Milner, Henderson, Wijnaldum, Mane, Salah, Firmino
- Napoli XI: Ospina, Maksimovic, Albiol, Koulibaly, Mari Rui, Callejon, Allan, Hamsik, Fabian, Mertens, Insigne
0 COMMENTS:
Post a Comment