December 12, 2018


Mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya African Lyon dhidi ya Young Africans kupigwa Deisemba 20 2018 kwenye dimba la Sheikh Amri Abeid jijini Arusha huku Lyon wakiwa wenyeji wa mchezo huo.

Hatua hiyo imekuja mara baada ya African Lyon kuomba kubadilishiwa uwanja na sasa watakuwa wanatumia Sheikh Amri Abeid kwa mechi za nyumbani.

Yanga walipaswa kukipiga na Lyon kwenye Uwanja wa Taifa lakini sasa haitakuwa hivyo tena kufuatia kuamua kuomba mabadiliko ya Uwanja huo kupitia bodi ya ligi.

Yanga watapaswa sasa kusafiri kuelekea Arusha kucheza na Lyon ambao tayari wameshakubaliwa kutumia uwanja huo.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic