Ofisa Habari wa klabu ya Simba, Haji Manara, amewapiga dongo watani zake wa jadi juu ya picha ya inayoonesha kuwatakia kheri ya Krimasi watu wote duniani.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Manara aliandika kushangazwa na picha hiyo baada ya kutowekewa kikofia chekundu,
Hiki ndicho ameandika
Wewe mwalili ni mpuuzi
ReplyDeleteNahisi huwa unarukwa na akili muda mwingine
ReplyDeleteNahisi huwa unarukwa na akili muda mwingine
ReplyDeleteUpuuzi Wa Mwandishi Upo Wapi? Kabla Ya Ku Comment Nivema Ukarudia Angalau Mara 3 Habari Uielewe Ndo U Comment Na Si Kukurupuka Sawa Justin
ReplyDelete