KIKOSI CHA SIMBA KINACHOONDOKA LEO KUMALIZANA NA NKANA ZAMBIA
Kikosi cha klabu ya Simba kinachotarajiwa kuondoka leo kuelekea Kitwe, Zambia kwa ajili ya mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Nkana Red Devils, mechi itapigwa Disemba 15 2018.
Magolikipa
1. Aishi Manula
2. Deo Munishi Dida
Mabeki
3. Nicholas Gyan
4. Mohamed Hussein
5. Erasto Nyoni
6. Pascal Wawa
7. Juuko Murshid
Viungo
8. Jonas Mkude
9. James Kotei
10. Hassan Dilunga
11. Clatous Chama
12. Said Ndemla
13. Mzamiru Yassin
14. Haruna Niyonzima
15. Rashid Juma
16. Shiza Kichuya
Washambuliaji
17. John Bocco
18. Emmanuel Okwi
19. Adam Salamba
20. Meddie Kagere
Vipi tena Asante Kwasi sioni jina lake. Bado hajawa fiti?
ReplyDeleteMajeruhi
DeleteKwasi nimemwona katika picha ya wachezaji waliowasili Ndola, kuna mchezaji atakuwa amekatwa
DeleteMungu awatangulie katika safari hii na kuwajalie hekima na baraka katika mechi jumamosi
ReplyDeleteInawezekana mpira mbinu zambia ni nyumbani ushindo ni lazma sio ombi
ReplyDelete