Mashabiki wa Simba walio katika basi la timu yao wakitokea nchini Zambia, wamepata mapokezi makubwa mjini Tunduma.
Simba ililala kwa mabao 2-1 katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika mjini Kitwe.
Mashabiki hao waliungana kwenda kuishangilia timu yao ambayo imesharejea nyumbani kujiandaa na mechi ijayo.
Basi hilo lilipata ajali wakati likiwa njiani kwenda Kitwe, bahati nzuri hakuna aliyeumia.
Mashabiki hao wako njiani kurejea jijini Dar es Salaam.
Nilikuwepo Hapa Tunduma Au Wilaya Momba Kwaujumla Ina Mashabiki Wengi Tupo Simba Huenda Ni Asilimia 70 So Mapokezi Lazima Yawe Makubwa
ReplyDelete