December 5, 2018


Baada ya kipande cha video kikimuonyesha Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania DKT.Tulia Ackson na wenzake wakicheza wimbo wa Rayvany akiwa na Diamond Platnumz uitwao Mwanza ambao umefungiwa.

Global V, imezungumza na katibu mtendaji wa Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA), Godfrey Mungereza kuhusiana jambo hilo ambalo limeiteka mitandao ya kijamii hapa nchini, na hii ndiyo kauli ya BASATA.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic