VIDEO: AUSSEMS ATOA KIBARUA HIKI KIZITO JUU YA WACHEZAJI WAKE
Kocha Mkuu wa Simba, Patrick Aussems amesema mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Nkana FC utakuwa ni mgumu ila kipaumbele kwa timu ni kupata ushindi.
Simba watacheza na Nkana FC leo katika uwanja wa Taifa huku wakitakiwa kushinda bao 1-0 baada ya kukubali kufungwa bao 2-1 katika mchezo wa kwanza uliochezwa nchini Zambia.
0 COMMENTS:
Post a Comment