December 23, 2018


Leo jumapili Disemba 23, 2018 pale uwanja wa Taifa itashuhudiwa mechi ya kibabe kati ya simba na Nkana huku Simba wakiwa na wakati mgumu baada ya kufungwa ugenini 2-1 hatua inayowalazimu kushinda ushindi wa bila kufungwa ama kwa tofauti ya magoli zaidi ya mawili huku wakizuia kufungwa magoli zaidi ya moja.

Wakizungumzia maandalizi yao Mabingwa hao wa soka Tanzania bara wamesema wako vizuri na kwamba kilichobakia ni muda tu ili kuwaua Nkana na kuwataka mashabiki na Watanzania wote kufika uwanjani kushuhudia mtanange huo.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic