Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe amesisitiza kuwa uchaguzi wa klabu ya Yanga utafanyika kama ulivyopangwa na TFF tarehe 13 mwezi January,
Waziri Mwakyembe ameyasema hayo Leo wakati akizungumza na waandishi wa baada ya kukutana na viongoz wa klabu hiyo ili kutatua changamoto za uchaguzi huo.+
Pamoja na mambo mengine Waziri mwakyembe amesema wizara yake haimtambui yusuph Manji kama mwenyewekiti a klabu ya yanga
Kumekuwa na mvutano mkubwa kati ya TFF na Yanga juu ya mchakato wa uchaguzi huo huku baadhi ya wanachama wa Yanga wakitishia kususia zoezi la ipigaji kura endapo TFF itasimamia uchaguzi wao.
Manji hana uwezo tena na ingekuwa anao uwezo na kweli anautaka uongozi angejitokeza na kuthibitisha lakini hilo halijatoka na hakuna nguvu za kumrudisha. Manji kaifanyia Yanga mengi na makubwa, hivo ashukuriwe na apumzike
ReplyDeleteHilo neno...ashukuriwe kwa aliyofanyia Yanga.
DeleteYANGA WANAPANGIWA HADI VIONGOZI WAKATI WANACHAMA HAWAWATAKI !!! HUU NI UKANDAMIZAJI WA HALI YA JUU NA UMEWAATHIRI WAPENZI NA MASHABIKI WOTE WA YANGA MAANA NI SAWA NA KUMCHAGULIA MTU MKE AMBAE HAMPENDI
ReplyDelete