December 23, 2018

7 COMMENTS:

  1. Huu si utani bali ni roho mbaya. Waliondoka nyuso chini, kisa kwanini Mnyama kashinda bila ya kufikiria kuwa ushindi huo ni fahari ya Tanzania. Kutokana na roho hiyo itakuwa tabu yanga kumaliza maratizo yanayowakabili kwasasabu badala ya kumuomba Mungu awatatulie maratizo yao, wamekuwa wanamuomba Mungu awaharibie Simba

    ReplyDelete
  2. Hata Simba walipoenda Kitwe...Dismas Ten alipost kwenye Instagram eti anamtakia Kessy na Nkana kila LA hero.Kessy ambaye Yanga walimtisa dakika za mwisho na kumuacha solemba.Hata mabingwa wa Historia miaka yote wanaishia wapi;

    ReplyDelete
  3. Mashabiki Wa Yanga Ni Wapuuz Kabisa Walio Kuwa Taifa Niliona Wakishangilia Gaol La Nkana Wakiamini Kazi Imeisha Lakin Mwisho Wamepata Aibu Kubwa Isiyo Elezeka Na Sijui Wametokaje Taifa

    ReplyDelete
  4. Mashabiki wa Yanga sawa na mjinga anaeshangilia msiba wa jirani ake bila kukumbuka nae yatamsibu

    ReplyDelete
  5. Yanga sawa na mjinga anaeshangilia msiba wa jirani ake bila kukumbuka nae yatamsibu . Ila tunashukuru wamependezesha uwanja. Waendelee kutuunga mkono kiuchumi

    ReplyDelete
  6. Nyani haoni kundule! Nyie Mikia FC mnayoyafanyaga mmesahau! jiandeni kisaikolojia kwenye makundi!

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic