December 3, 2018

Mshambuliaji wa tiMu ya Yanga Amiss Tambwe amefanikiwa kuisaidia timu ya Yanga kupata ushindi wake mbele ya Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ambao umechezwa leo uwanja wa Sokoine, Mbeya.

Yanga wanafanikiwa kushinda mchezo wao wa 12 kati ya 14 ambayo wamecheza kwa sasa kwenye ligi na kutoa sare 2 hali inayowafanya waendelee kukaa kileleni kwa kukusanya pointi 38.

Tambwe alichukua nafasi ya Juma Abdul akasababisha penati iliyofungwa na Ibrahim Ajibu na akafanikiwa kufunga mabao 2 dakika ya 85 na dakika ya 90.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic