BREAKING: BASATA YAWAFUNGULIA RAYVANNY, DIAMOND, WASAFI FESTIVAL KAMA KAWA
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limetoa taarifa Januari 22, 2019 kuwafungulia wasanii Nasib Abdul ‘Diamond Platnumz’ na Raymond Shaban Mwakyusa ‘Rayvan’ na Tamasha la Wasafi baada ya kufungiwa kwa kipindi kisichojulikana kutokana na sababu za kimaadili.
Apana chezea mpunga wewe!
ReplyDelete