January 21, 2019






Wachezaji wawili wapya wa klabu ya Simba wameanza mazoezi leo.

Wachezaji hao wawili mmoja ni beki na mwingine ni mshambuliaji. Imeelezwa wachezaji hao wapya mmoja ni raia wa Ghana na mwingine imeelezwa ni raia wa Togo.

Beki wa kati ni Moro Lamine ndiye beki wa kati na Hunlede Kissimbo Ayi ndiye mshambuliaji kutoka Togo.


Simba inaonekana kuamua kuongeza nguvu katika kikosi chake kwa ajili ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kuwa wamecheza mechi mbili. Moja wameshinda na nyingine kufungwa.

Wachezaji hao wameanza mazoezi kwenye Uwanja wa Boko Veterani leo.





8 COMMENTS:

  1. Inatakiwa Simba wasajili watu wenye uwezo uwanjani sio majina tu

    ReplyDelete
    Replies
    1. SISI tunasajiri vifaa siyo majina Bali uwezo wa mchezaji

      Delete
    2. Kule kongo wachezaji wakitanzania walioanza walikuwa wa4 wengine wote walikuwa wakigeni au mnaowaita vifaa na MKALA 5 saaaafi. Endeleeni kuongeza vifaaa visivyo na msaada

      Delete
    3. Kula tank katika mpira kawaida. Mbona Yanga kala moja kutoka kwa vibonde wa ligi..Hata German na Brazil walishaondokewa katika world cup na wakiwa wanacheza kutetea ubingwa!

      Delete
  2. Simba huwa ikisajili mwanzoni wanawabeza...ilikuwa hivyo kwa bocco na okwi,kapombe na hata Wawa!

    ReplyDelete
  3. Kama vyura fc ilipigwa na stand united..ukweli ni kwamba kikosi cha simba kilichocheza Kongo kikikutana na Yanga na bado simba akacheza vile vile alivyocheza kana kwamba Ni friend match bado vyura fc watapigwa hamsa

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic