Mkurugenzi wa Uendeshaji SportPesa Tanzania Bwana Luca Neghesti akikabidhi cheki kwa mshindi wa bonasi ya shilingi 31,112,175 ya JackPot ndugu Alex Jaseph Peter ambapo alibashiri kwa usahihi mechi 12 kati ya 13.
|
Alex Joseph Peter(26) mkazi wa Kimara Temboni DSM, ameibuka mshindi wa bonasi ya Jackpot kutoka SportPesa mara baada ya kubashiri kwa usahihi mechi 12 kati ya 13.
Katika mazungumzo na waandishi wa habari Alex alisema " Nimeanza kucheza na SportPesa mwezi huu huu wa kwanza na sikutumia muda mwingi kuweka ubashiri wangu kwani mimi sifahamu mpira wa miguu sana."
"Nilitumia kiasi cha shilingi elfu mbili na nikabashiri mech za JackPot 13 ambapo nilibahatika kubashiri kwa usahihi mechi 12 na kujishindia kiasi cha shilingi milioni 31,112,175/="
"Kusema ukweli simfahamu mtu yoyote kutoka SportPesa na wakati napokea msg sikuamini na wala sikulala na nikahisi ni msg za utapeli."
"Napenda kuishukuru sana SportPesa kwa kubadili maisha yangu , mimakiwanja ambacho kwa sasa na uhakika wa kupandisha ili niwe na makazi yangu mwenyewe."
Kmapuni ya SportPesa hivi sasa inaongoza kwa kuwa na JackPot kubwa ambayo kwa sasa imesimamia kiasi cha shilingi 427,899,260 kwa atakaye weka umabashiri mechi 13 kwa usahihi.
Kucheza na SportPesa mtumiaji wa mitandao yote ya simu(Vodacom, Vodacom, Airtel, Halotel pamoja na Zantel) kwa kupiga * 150*87#, kuweka pesa na kisha kuanza kubashiri.
0 COMMENTS:
Post a Comment