HII SASA KALI, DISMAS TEN AMTUKANA LIVE SHABIKI WA SIMBA MTANDAONI
Hii sasa kali. Ofisa Habari wa Yanga, Dismas Ten ameamua kuweka makucha hadharani baada ya kumtukana LIVE shabiki wa Simba kisa kuambiwa hana akili.
Ten aliweka ujumbe katika ukurasa wa Instagram kwa kusema kuwa "wakati mwingine tunakuzingua ili upate hasira ufanye vizuri, hongereni" na mdau huyo akakomenti kwa kumweleza Ten hana akili.
Baada ya Ten kuona komenti hiyo, hakusita kumjibu palepale kwa kumchana LIVE na akimuuliza shabiki huyo kuwa angekuwa hana akili mama yake angekuwa anakuja kuchukua hela kwake?
Ujumbe huo uliambatana na namba ya simu ya Ten ambayo aliitoa na kumweleza shabiki huyo kuwa akaiangalie kwa mama yake kuwa ameisave kwa jina lipi.
Mnafiki hiyo..wakati Simba inaenda cheza na Nkana aliwatumia salam instagran pamoja na kessy akiwatakia ushindi.Akatuma mashabiki kujavwashingia uwanja wa Taiga . Jana waliona wakienda shangilia JSS bado wataumia tu!
ReplyDeleteTFF ijitathmini namna inavyoendesha soka la Tanzania....kwani kumekuwa na malalamiko ya upendeleo na kuzipangia unafuu ratiba ya mashindano baadhi ya klabu fulani na kuzikandamiza nyingine....sijata timu hizo ila mwenye macho haambiwi tazama
ReplyDeleteMtibwa na Simba wamekuwa wana viporo premium league sababu ya mechi za kimataifa.ilikuwa hivyo hivyo kwa Yanga mwaka Jana na juzi pia!
ReplyDeleteKuna tusi hapo??
ReplyDelete