LIGI ya Wanawake Tanzania maarufu kama 'Serengeti Lite Women's Premier League' leo inaendelea kwa timu nane kushuka Uwanjani kumenyana kusaka pointi tatu.
Michezo yao leo itakuwa namna hii:-Baobab dhidi ya Simba Queens Uwanja wa Jamhuri.
Evergreen Queens dhidi ya Yanga Princess Uwanja wa Karume.
Mapinduzi Queens dhidi ya Tanzanite SC Uwanja wa Sabasaba.
JKT Queens dhidi ya Mlandizi Queens Uwanja wa Mej.Gen.Isamhyo, mechi zote zitachezwa saa 10:00 jioni.
0 COMMENTS:
Post a Comment