MWIJAKU – “MCHUMBA WA MC PILIPILI / ANA MAPUNGUFU / ANATIA HASARA” – VIDEO
Muigizaji wa filamu nchini, Mwijaku, amesema ubuyu unaosambaa mitandaoni ukidai kuwa Mchumba wa MC Pilipili anayeitwa Qute Mena ana uhusiano wa kimapenzi na MO J Ambaye ni mzazi mwenziye na Gigy Money, sio wa kweli.
Mwijaku amesema msichana huyo ni kweli ana mapungufu yake lakini hawezi kutembea na baba mtoto wa Gigy haswa kwa kipindi hiki ambacho amevalishwa pete ya uchumba juzi tu na Watanzania wote kumshuhudia MC Pilipili akimwaga machozi wakati wa kumvalisha pete hiyo.
Kocha wa Yanga hana mbinu anaongea sana na vyombo vya habari badala ya kujikita kukisuka kimbinu timu yake.....watu wanaaminishwa ubora wa timu lakini kiuhalisia beki mbovu sana hata golikipa hawana formation ya kucheza kwa mbinu....Kocha msanii sanii tu Kombe hili anachukua Simba au Gor Mahia. Yanga wasipofanya mageuzi katika beki na viungo vyao jinsi wanavyocheza na kukaba pindi wanapoteza mpira wataendelea watapoteza mechi nyingi....KAMA NI MDAU WA YANGA UNASOMA UJUMBE HUU FIKISHA KWA HARAKA SANA UJUMBE KWA KOCHA
ReplyDeletehuu ujumbe wako una uhusiano gani na story hii?
ReplyDelete