January 22, 2019

2 COMMENTS:

  1. Kwanini Simba wanapoteza muda kumfanyia majaribio huyu Mghana ambae kwa taarifa za uhakika amechezea Buildcon FC ya Zambia karibu miaka miwili. Kuna taabu gani kutuma maskauti kwenda hapo Zambia kupata taarifa zake za kazi au hata kwa kuwatumia makocha wazoefu kama vile Patrick Phiri au Lwandamina kocha wa zesco United kuwahakikishia kuwa ni beki sahihi kwa mahitaji ya Simba au la? mambo mengine ni ya kushangaza kwani huu sio wakati sahihi kwa Simba kumfanyia mchezaji majaribio ni wakati wa kusajili mchezaji right away.

    ReplyDelete
  2. Huyo bwanamdogo wa Kitogo anaonekana ni mchezaji ila anaonekana kama keshatumika kwenye Caf champion league kwa hivyo Simba wanatakiwa kujirishisha kuhusu ushiriki wake kwenye champion league kabla ya kuingia nae kandarasi kama wataridhishwa na uwezo wake.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic