February 9, 2019


SARE ya jana kwa kikosi cha African Lyon mbele ya Mtibwa Sugar imezidi kuifanya iendelee kuburuza mkia kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara na kufanya mambo kutokaa sawa kimahesabu.

African Lyon ambayo imepanda daraja msimu huu haijawa na matokeo ya kuridhisha kwani katika michezo 25 ambayo wamecheza mpaka sasa wamejikusanyia pointi 20.

African Lyon wameshinda michezo minne pekee mpaka sasa  wametoa sare michezo saba na kupoteza michezo 17.

Mtibwa walipanda kwa nafasi tatu juu baada ya kuambulia pointi moja wakitoka nafasi ya kumi na tatu mpaka 10 wakiwa na pointi 29.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic