February 7, 2019








Familia zimetakiwa kuwa na subira ili kujua mwili uliopatikana baharini katika ndege iliyoanguka ni wa aliyekuwa mshambuaji mpya wa Cardiff City, Emiliano Sala au rubani.





Ndege hiyo ilianguka ikiwa njiani kutoka Nantes kwenda Cardiff wakiwemo Salah na David Ibbotson ambaye ni rubani mwenye umri wa miaka 59.
Waokoaji wamesisitiza watakuwa makini sana katika hilo ili kupata uhakika hasa ni mwili wa nani.

Sala alikuwa anakwenda kujiunga na Cardiff akitokea Nantes ya Ufaransa ambayo ilimuuza kwa pauni milioni 15 na sasa imekuwa ikitaka ilipwe fedha hizo.



0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic