February 7, 2019

2 COMMENTS:

  1. Hii bodi sasa inafanya "komedi" kama huyu mchezaji anaitwa kisa kumpiga mwenzake kikumbo wakati wa mchezo!!

    Kwa akili yangu na uelewa wangu.. Makosa yanayostahili mtu kuitwa ni pamoja na kutoa lugha za matusi/kejeli/dharau kwa mashabiki/wachezaji/waamuzi kabla/wakati/baada ya mechi!
    Kosa lingine ni tuhuma za kujihusisha na imani ambazo zinaweza kutafsiriwa kama ni ushirikina ana siasa michezoni..

    Lakini kwa makosa ya mchezaji kumpiga/kumdhuru mwezake sidhani kama ni muafaka yeye kuitwa ili atoe utetezi wake.. Labda nasema labda.. Marefa ndo waitwe watoe utetezi ni kwa nini wasichukuliwe hatua kali za nidhamu..!!
    Kwa hapa bodi ya ligi mmechemsha..!!

    ReplyDelete
  2. Kwanza barua inamakosa mengi sana ya kiufundi..
    Jina mchezaji si sahihi.. Makosa yake nayo hayajaainishwa..!!
    Ama kweli TFF ya Karia ni Kichefuchefu!!

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic