February 21, 2019





Klabu ya Stoke City imekuwa ikiangalia uwezekano wa kuachana na mshambuliaji wake, Saido Berahino raia Burundi.

Hatua hiyo inatokana na hatua ya mchezaji huyo kupatikana na hatia ya kuwa akiendesha huku amelewa.

Imeelezwa mkataba wake unisha mwaka 2022 na klabu ikumucha itamlip hadi pauni milioni 6, jambo linaloonekana kuwa kikwazo.



TAKWIMU:

West Brom (2011-16): 121 games (36 goals)
Northampton (2011, loan): 15 (6)
Brentford (2012, loan): 8 (4)
Peterborough (2012, loan): 10 (2)
Stoke (2016-): 56 (5)
Total: 211 (53)
INTERNATIONAL CAREER
England U16-20 (2009-14): 36 (14)
England U21 (2013-15): 11 (10)
Burundi (2018-): 4 (1)

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic