February 11, 2019




Aliyewahi kuwa Makamu wa Rais wa TFF, Michael Wambura anashikiliwa na Takukuru.

Wambura anashikiliwa kwa tuhuma za ubadhilifu wa fedha wakati akiwa madarakani.

Taarifa zinaeleza, Wambura anashikiliwa kwa siku ya pili baada ya kuwa amehojiwa mara kadhaa.


Hivi karibuni, Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa) lilitangaza kumfungia Wambura maisha kujihusisha na soka.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic