Kwa mujibu wa Ofisa Habari wa klabu hiyo, Dismas Ten, amesema kuwa waamunizi wanapaswa kujifunza kutokana na kelele kuwa nyingi dhidi yao.
"Kuna jambo moja tunaweza kuzungumza kuhusu mpira wetu .... Kelele na malalamiko juu ya waamuzi.
"Hili limekuwa donda ndugu
"Kwa waamuzi. Kuna jambo la kujifunza kwa
Heri Sasi.... yuko tofauti kidogo.....! japo binaadamu hatukosi mapungufu.... anyway acha siku ipite hivi.
"Nafikiria cha kuagiza ninywe kuwatakia kheri watani zangu... Japo ni ..
—————————————————
KESHO ILE MAKALA INAENDELEA" aliandika Ten kupitia ukurasa wake wa Instagram
0 COMMENTS:
Post a Comment