DAR: AJIRUSHA BAHARINI AFE, AOKOLEWA!
MTU mmoja ambaye jina lake halijafahamika mara moja amenusurika kifo baada ya kujirusha baharini kutoka kwenye Boat inayozdaiwa kuwa ni ya Azam iliyokuwa ikitoka jijini Dar es Salaam kuelekea Unguja, jana Februari 11, 2019 majira ya saa 6 mchana.
Mtu huyo ambaye hakutambulika haraka wala sababu za kujirusha kwake baharini zikiwa hazifahamiki, aliokolewa mapema na kukimbizwa hospitali.
Endelea kufuatilia taarifa zetu kujua zaidi kilichotoke.
0 COMMENTS:
Post a Comment