HIZI HAPA RATIBA ZA SIMBA NA YANGA KWA MWEZI HUU, TAZAMA KISHA TUPE MAONI YAKO
Hizi hapa ratiba za Simba na Yanga kwa mwezi huu Februari 2019
SIMBA SC
👉07/02/2019
Simba vs Mwadui - Dar
👉12/02/2019
Simba vs Al Ahly - Dar
👉16/02/2019
Yanga vs Simba - Dar
👉19/02/2019
Africa Lyon vs Simba - Arusha
👉22/02/2019
Azam vs Simba - Dar
👉26/02/2019
Lipuli vs Simba - Iringa
👉03/03/2019
Stand United vs Simba - Shinyanga
👉09/03/2019
Js Saoura vs Simba - Algeria
👉16/03/2019
Simba vs As Vita - Dar
👉18/03/2019
Simba vs Ruvu Shooting - Dar
👉31/03/2019
Simba vs Mbao - Dar
YANGA SC
👉06/02/2019
Singida United vs Yanga -Singida
👉10/02/2019
JKT Tanzania vs Yanga -Tanga
👉16/02/2019
Yanga SC vs Simba -Dar
👉20/02/2019
Mbao vs Yanga -Mwanza
👉25/02/2019
Namungo vs Yanga -Lindi
👉02/03/2019
Alliance School vs Yanga Mwanza
👉10/03/2019
Yanga vs KMC -Dar
👉16/03/2019
Lipuli FC vs Yanga -Iringa
March 25-30 ASFC robo fainali
Kwakweli ukiangalia ratiba tena ni heri na yanga da hii ya simba ni hatari thana kwa mechi zao baada ya mechi hakuna kulala mechi ikiisha ni kusafiri hakuna tena cha kesho nduki hadi kituoni ukilala tu umeharibu ratiba maana 16, 19, 22, cha hatari sasa kwa wachezaji 16 mechi 18 mechi da mda huo umetoka kwenye mechi ngumu na AS vita mmmmmmmmm hapa bodi ya ligi imebugi me
ReplyDeleteTunalalamika sana, hili halipo Tanzania tu, majuzi tumeambiwa kuhusu ratiba ya Ahly huko ligi ya Misri, nako hali ni kama hii hii tu, kimsingi tusilaumu, tuwaombe tu uongozi wa klabu yetu ya Simba kuwa makini na ratiba hii, na hatuna budi kuitimiza kama ilivyo. Hapo ndipo tunapoweza kusema "Hii ni timu kubwa", kwasababu kushiriki mashindano mengi kwa timu moja ni moja ya ishara ya kuonyesha ukomavu wa timu na ubora wake. Tuwaache vyura waendelee kulalamikia ratiba, utadhani mzunguko wa kwanza walikuwa hawaifurahii ratiba ile bhana!.
ReplyDeletekwa simba mbona iko fresh tu ila kw hao yanga sioni metch watkayo shd zaid KMC 2
ReplyDelete