HUYU NDIYE KOTEI HALISI, NI KAMA MTU ALIYEONGEZEWA MAPAFU YA WATU WANNE
Camera hazimfuati wala hatajwi sana,ila James Kotei ndiyo msingi wa timu yetu kwa sasa.
Marking yake katika safu yetu ya ulinzi ni kubwa mno, workrate yake uwanjani ni kama mtu aliyeongezewa mapafu ya watu wanne.
Hapigi kanzu wala tobo ila ndio mchezaji anaegusa mipira mara nyingi kuliko mchezaji yoyote uwanjani.
Ukitoka nyuma wake ukiwa kati wake na sio ajabu kumkuta kaenda kufanya tackling pembeni.
Kiukweli namkubali huyu kijana na hasa ile nidhamu yake ndani na nje ya uwanja.
Na Haji Manara
Kwa kweli hata mimi namkubali, kuna yule Mghana mpya ambaye bado hajasajiliwa nasikia nae yuka kama Kotei, anakaba sanaaaa.
ReplyDeleteNidhamu ya kumpiga ngumi Gadiel kila mechi! Hamna mchezaji pambio yu hili!!
ReplyDelete