February 21, 2019


Kufuatia tamko alilolitoa aliyewahi kuwa Msemaji wa Yanga, Jerry Muri juu ya Haruna 
Moshi 'Boban' na Mrisho Ngassa kuwa si wachezaji wanaopaswa kuitumikia Yanga kwa sasa, hatimaye ameibuka na kuomba radhi.

Aidha ameomba msamaha pia kwa kauli aliyoitoa juu ya Kocha wake, Mwinyi Zahera ambaye alikuwa akipinga mbinu zake Uwanjani.



2 COMMENTS:

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic