February 10, 2019


Wakati Mbelgiji Patrick Aussems akihaha kwenye benchi la ufundi kama Kocha Mkuu pekee kwa takribani miezi minne sasa, imeelezwa uongozi wa klabu hiyo umeanza harakati za kusaka msaidizi wake.

Taarifa za ndani ya Simba zinasema uongozi umeamua kumpata mtu atakayemsaidia Aussems kutimiza majukumu kwani amekuwa akifanya peke yake kwa muda mrefu tangu kuondoka kwa Masoud Djuma.

Ifuatayo ni orodha ya Makocha ambao wanapigiwa upatu na Simba ili kuungana na Aussems kwenye benchi la ufundi.

1. Seleman Matola (Lipuli FC)
2. Ettiene Ndayiragije (KMC)
3. Amri Said Stam (Biashara United)
4. Juma Mgunda (Coastal Union)

4 COMMENTS:

  1. HAPO NI MMOJA TU ANAYEFAA - ETTIENE. WENGINE WAGOMVI TU SIONI ATAKAYEWEZA KUSHAURIANA NA AUSSEMS. SHIDA TUPU KWETU SIMBA. KWANINI MSIMCHUKUE KOCHA WA MAANA KUTOKA DRC?

    ReplyDelete
  2. Nani kakwambia kocha wa maana anatoka DRC? Kama.kocha wa maana angekuwa natika DRC kwa nini makocha wote wa TP Mazembe sio wakongo miaka yoooteeee? Kwa nini DRC haishiriki kombe la dunia kwa nchi za afrika? Kwa nini timu yao ya taifa haifanyi vizuri? Fuatilia utaona kwamba hakuna kocha wa maana DRC maana kama angekuwapo lazima ungesikia kocha huyo anafundisha nje ya DRC tena angekuwa anafundisha moja ya vilabu bora Afrika anbavyo ni 16 lakini kayika vilabu hivyo bora 16 vya nje ya DRC hakuna mkongo ukiondoa anaefundisha huko huko kwao timu ya VITA

    ReplyDelete
  3. Ndayiragije wa KMC ndio bonge la Kocha. Kwa mbali Selemani matola.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic