February 12, 2019



NAHODHA wa Manchester United, Ashley Young amesema meneja Ole Gunnar Solskjaer amefanikiwa kuwamudu wachezaji hasa eneo la kubadilishia nguo wakati wa mechi.
'Young aesema "Kwa sasa tunafundishwa vizuri na wachezaji wanafuraha hasa muda ule tunapokuwa kwenye vyumba vya kubadilishia nguo, ujio wa Gunnar (December 19/2018) ni kama kurejea kwa Sir Alex Ferguson.
"Gunnar anajua vizuri namna ya kucheza na wachezaji wake hii inatokana na kuitumikia timu hii, anafanya mambo mengi ambayo yanatusaudia kupata ushindi tukiwa mazoezini kama ambavyo alikuw akifanya Sir Alex," amesema.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic