Waziri Mkuu Mstaafu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Fredrick Sumaye, ameugua ghafla akiwa mkoani Tanga akiendelea na ziara ya shughuli za chama.
Baada ya Kuugua akakimbizwa katika Hospitali ya Mkoa wa Tanga na kwa sasa anaendelea vizuri huku jitihada za kumsafirisha kuletwa Muhimbili zikifanyika.
0 COMMENTS:
Post a Comment