VIDEO: KOCHA MWADUI - SIMBA WANATETEREKA, SIYO WA HADHI YA KIMATAIFA KOCHA wa Mwadui FC amethibitisha kuwa Simba ni timu kubwa ambayo kwasasa ina presha na mashabiki wake baada ya kutoka kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika. Simba sio timu ambayo inaweza kucheza mechi za kimataifa inaweza kucheza nyumbani tu.
mfa maji.......
ReplyDeletetimu yenye beki mbovu mpaka sasa imefungwa mabao mangapi
ReplyDelete