VIDEO: MO DEWJI ASHINDWA KUZUNGUMZA TAIFA
Mwekezaji wa klabu ya Simba, Mohamed Dewji, amejikuta akishindwa kuongea kutokana na kuzidiwa na furaha baada ya klabu hiyo kuwachapa waarabu bao (1- 0) katika mchezo wao uliochezwa leo katika uwanja wa Taifa jijini Dar.
Bao la Simba limefungwa na Mshambuliaji wake Meddie Kagere dakika ya 64.
0 COMMENTS:
Post a Comment