VIDEO: MO RASHID ATAJA UTOFAUTI WA SIMBA NA KMC
Nyota wa zamani wa klabu ya Simba, Mohamed Rashid, ambaye hivi sasa anakipiga klabu ya KMC amesema licha ya kuwa hayupo katika kikosi cha Simba bado anaamini kiwango chake kiko vizuri kutokana na uwezo binafsi alionao awapo uwanjani
hata hivyo MO amesema licha ya kuwa katika kikosi cha kwanza cha KMC Bado mwalimu Patrick Aussems anafatilia kwa karibu maendeleo yake katika kikosi hicho cha timu ya Manispaa ya Kinondoni.
0 COMMENTS:
Post a Comment