KIKOSI cha Waarabu Al Ahly jana kilifika katika uwanja wa Taifa kufanya mazoezi yake ya mwisho kuivaa Simba leo katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika.
Simba inaingia uwanjani katika mechi ya marudiano na Al Ahly ikiwa na kumbukumbu ya wafungwa magoli 5- 0 nchini Misri.
0 COMMENTS:
Post a Comment