March 17, 2019


Kufuatia kikosi cha timu ya Simba jana kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 kisha kutinga hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika, Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamis Kigwangalla amesema atazungumza na uongozi wa klabu hiyo kuwapa ofa wachezaji ya kupumzika kwa siku tatu mpaka tano kwenye hifadhi za mbuga za Taifa.


2 COMMENTS:

  1. jamani muwe mnaweka picha ya timu iliyocheza

    ReplyDelete
  2. Mwenye Zahera tulijua ulikuwa na lengo la kuwasaidia Wacongo wenzako lkn kumbuka ww ukiwa ni Head coach wa Young African toka umeanza kibarua chako cha kuitumikia Young Africans hukuwahi kuwafunga Mabingwa wa Tanzania Bara Simba sports
    Je unadhani Simba ilikuwa na hofu na wewe kuungana na As vita ili mpate Matokeo ktk uwanja wetu wa Nyumbani.
    Mwinyi zahera Umewaumiza sana wana Young kwa kuicha Team ikiwa Iringa na kupoteza mchezo against Lipuli fc huku Head coach akiwa Dar akishuhudia kipigo kitakatifu ilicho kipokea As vita wana Ndombolo zidi ya Taifa Kubwa Simba Sports.
    Mwinyi zahera wana Yanga watakuvumilia kwasababu tu unajitolea kuifundisha yanga bila ya uhakika wa Mshahara.
    This is Simba yes we can.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic