March 17, 2019


Kocha Mkuu wa klabu ya Yanga, Mwinyi Zahera kuondoka leo nchini na kikosi cha As Vita kuelekea Congo.

Zahera alitangaza kuondoka kuelekea kwao kwa ajili ya majukumu na kikosi cha timu ya Taifa kwa ajili ya kufuzu fainali za AFCON mwaka huu.

Kocha huyo ataondoka na Vita ambao wametoka kupoteza jana dhidi ya Simba kwa mabao 2-1 kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika.

Congo watakuwa wanacheza dhidi ya Zimbabwe kwenye mchezo ujao wa kuwania kufuzu fainali hizo Machi 24 wakiwa ugenini.

2 COMMENTS:

  1. Pole sana Mwinyi Zahera ndio mpira ulivyo

    ReplyDelete
  2. Mnafiki!kumbe hakwenda Iringa?Alijichimbia Dar kuipa siri AS vita.Ona sasa koote kapoteza

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic