Ratiba hiyo inawafanya Simba kushindwa kupanga ratiba ya mechi yake dhidi ya AS Vita Jumamosi kuchezwa saa 10 kama ilivyozoeleka.
Kwa mujibu wa Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara, amesema lengo la CAF kupanga ratiba hiyo ni kuepusha upangaji wa matokeo ambao wana hofu unaweza kujitokeza.
"CAF wameamua kupanga mechi zote za makundi kuchezwa saa 1 ili kuepusha upangaji wa matokeo.
"Mechi yetu na AS Vita itapigwa saa 1 za usiku hivyo waliopanga muda ni CAF na si Simba."
Watakaaa tu iwe isiwe yaani ni do or die
ReplyDelete