HASSAN MWAKINYO AENDELEA UBABE, AMTWANGA NDUGU YAKE NA MESSI HUKO KENYA
Bondia wa Tanzania, Hassan Mwakinyo amemtwanga kwa Knockout Bondia wa Argentina Sergio Gonzalez katika mzunguko wa 5.
Pambano hili lisilo la ubingwa limefanyika Mjini Nairobi Nchini Kenya.
Asante Hassan Mwakinyo kwa kutupa heshima Watanzania na Wana Afrika Mashariki.
0 COMMENTS:
Post a Comment