March 16, 2019


LIGI Kuu Bara inaendelea leo ambapo timu 10 zitashuka Uwanjani kumenyana kutafuta pointi tatu kwenye viwanja vitano tofauti kama fuatavyo:-

Lipuli wataikaribisha Yanga Uwanja wa Samora.

Mbeya City kazini leo dhidi ya Mbao FC, Uwanja wa Sokoine.

Kagera Sugar leo itamenyana na Mtibwa Sugar, Uwanja wa Kaitaba.

Coastal Union itakuwa kazini dhidi ya Alliance FC, Uwanja wa Mkwakwani.

Biashara United watamenyana na African Lyon Uwanja wa Karume, Musoma.

Mechi zote zitapigwa saa 10:00 Jioni

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic