SPOTI HAUSI: SIMBA IKIFANYA HIVI ITAFUZU ROBO FAINALI
Kipindi cha Spoti Hausi kiliwa hewani na wachambuzi wako wamekuletea kinagaubaga mambo ambayo Simba wanapaswa kuzingatia kuelekea mechi na AS Vita kwenye mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Ungana nao hapa
0 COMMENTS:
Post a Comment