VIDEO: NINJA AUNGANA NA SIMBA CAF Mchezaji wa Yanga Abdallah Shaibu amewapa nafasi kubwa simba kuibuka na ushindi katika mchezo wao wa mwisho wa kutinga hatua ya robo fainali dhidi ya AS VITA ya Congo Ligi ya Mabingwa Afrika.
0 COMMENTS:
Post a Comment